Hizi ni Baadhi ya Picha zilizochukuliwa katika Show hiyo:
Presenter
na Mc Kutoka Safari Radio Fm Gozza Chuma akiwa Ndani ya Makonde Night
Club akisimamia show hiyo inakwenda kama ilivyo pangwa
Shabiki akiji mwayamwaya na Hits zilizokuwa zikipigwa humo na Dj Ommy wa Makonde Night club kabla ya Show kuanza
Dj Ommy akiwapa raha wakazi wa mtwara waliohudhuria show ya Juma Kasim Sir Nature Ndani ya Makonde Night Club Mtwara.
Juma
Kiroboto akiwapa burudani wakazi wa Mtwara waliofurika ndani ya Ukumbi
wa Makonde Royal Night Club jumamosi ya tarehe 22/3/2014.
Mashabaki
wa Sir Nature wakitoa shangwe kwa kile kilichokuwa kinaendelea ndani ya
Ukumbi huo wa MakondeRoyal Bight Club kwa kupata show ya Nguvu kutoka
kwa msanii Juma Nature


VIA lindiyetu |