Msanii
Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Kasim au unaweza kumwita Sir
Nature ameweza kutoa Burudani ya aina yake kwa wakazi wa Mtwara na
Vitongoji vyake walioweza kuhudhuria show yake iliyofanyika katika
Ukumbi wa Kipekee wa Makonde Royal Night Club Mjini Mtwara siku ya
tarehe 22/3/2014.Sir
Nature aliongozana na Baadhi ya wanamuziki wenzake wa Kundi la Wanaume
Halisi lenye maskani yao Mjini Dar es salaam Kule TEMEKE, wasanii hao ni
DOLO, KR na JB kutoka Kundi la Mabaga Fresh.
Hizi ni Baadhi ya Picha zilizochukuliwa katika Show hiyo:Presenter
na Mc Kutoka Safari Radio Fm Gozza Chuma akiwa Ndani ya Makonde Night
Club akisimamia show hiyo inakwenda kama ilivyo pangwaShabiki akiji mwayamwaya na Hits zilizokuwa zikipigwa humo na Dj Ommy wa Makonde Night club kabla ya Show kuanzaDj Ommy akiwapa raha wakazi wa mtwara waliohudhuria show ya Juma Kasim Sir Nature Ndani ya Makonde Night Club Mtwara.Juma
Kiroboto akiwapa burudani wakazi wa Mtwara waliofurika ndani ya Ukumbi
wa Makonde Royal Night Club jumamosi ya tarehe 22/3/2014.Mashabaki
wa Sir Nature wakitoa shangwe kwa kile kilichokuwa kinaendelea ndani ya
Ukumbi huo wa MakondeRoyal Bight Club kwa kupata show ya Nguvu kutoka
kwa msanii Juma Nature
Jb
Wa kundi la Mabaga fresh akiwapa burudani wakazi wa Mtwara wakati wa
Show ya juma Nature ndani ya Makonde Royal Night Club MtwaraHakika
ilikuwa show ya aina yake hakuna Mtu aliye keti kwani Mwanzo mwisho ni
shangwe kwa wasanii wa Kundi la Wanaume Halisi wakiongozwa na Juma
Nature wakitoa Burudani iliyokubaliwa na Mashabiki hao na Kufanya Ukumbi
wa Makonde Royal Night Club Kuzizima.Kuanzia
Kushoto ni Dolo, JB na Juma Kasini wakishambulia Jukwaa la makonde
Royal Night Club siku ya Jumamosi ya Tarehe 22/3/2014 Ndani ya MtwaraMsanii
wa Kundi la wanaume Halisi unaweza kumita DOLO akitoa burudani katika
show hiyo ya Juma Nature ndani ya Makonde Royal Night ClubWadada
hawakuwa Nyuma Kushangilia jinsi walivyokuwa wakipokea burudani kutoka
kwa Kundi la Wanaume Halisi likiongozwa na Juma Nature
VIA lindiyetu |
No comments:
Post a Comment