Kwa kiingilio cha Buku 7 tu unakuja kuona show ya Kijanja na yenye Uzani wa Hali ya Juu kutoka kwa Rais wa Manzese akiwa na Mtoto Shilole a.k.a Beyonce Viuno kama kawa na Squard yake amekamilika kulivamia jukwaa vilivyo leo hii….
Saturday, March 15, 2014
SHILOLE NA MADEE NI KAMA JAY Z NA BEYONCE, SOMA HAPA HABARI KAMILI
Kwa kiingilio cha Buku 7 tu unakuja kuona show ya Kijanja na yenye Uzani wa Hali ya Juu kutoka kwa Rais wa Manzese akiwa na Mtoto Shilole a.k.a Beyonce Viuno kama kawa na Squard yake amekamilika kulivamia jukwaa vilivyo leo hii….
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment